natafuta chumba self mbezi beach,mwenge,kijitonyama na mwananyamala

natafuta chumba self mbezi beach,mwenge,kijitonyama na mwananyamala

ma jery

Senior Member
Joined
Jun 15, 2011
Posts
171
Reaction score
65
helo wana jf ninaitaji chumba kwa sh elf 50000 kiwe self.au viwili kwa laki moja. pawe barabarani na maji na umeme.naitaji na housgirl cause naogopa kukaa alone mi ni msichana thax wana jf
 
Tungekaa wote,bt hofu yangu ni kwa baba jery..
 
Ma Jerry mschana utampatia humu JF?kwa hilo la chumba hope utapata!ila kwa issue ya housegirl ni ngumu kidogo huku JF kumpata!
 
Kipo africana maeneo ya whitesands ila mwenye nyumba anataka uwe na mume anangalia hadi cheti ni mlokole wa kakobe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom