Natafuta chumba na sebule

Natafuta chumba na sebule

Vipo Kigamboni, bunju, madale , tegeta , Tabata , Kinyerezi , yombo buza , kimara, gongo la mboto, Mbezi msumi, Sinza , mabibo , ubungo na kawe.
mabibo au ubungo,nyumba nzima napata kwa bei gan??
 
Magomeni chumba sebule, chumba self vipo vya 150k, 160k na 180k wewe tu. Kama kweli upo serious vyumba Hivyo sasa
 
Vipo Kigamboni, bunju, madale , tegeta , Tabata , Kinyerezi , yombo buza , kimara, gongo la mboto, Mbezi msumi, Sinza , mabibo , ubungo na kawe.
Chumba master na sebule maeneo ya bbunju vinapatikana Kwa bei gani? Napendelea zaidi upande wa kulia kama unaenda bagamoyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom