Natafuta chumba na sebule

mangi meri

Senior Member
Aug 13, 2017
116
151
Habari zenu na Poleni na matamko wana jamvi!! Natafuta chumba na sebule Maeneo ya kijitonyama,makumbusho, Mwenge au Mbezi beach. Isiwe uswahilini sana, bajeti yangu ni 100,000.
 
umevipotezea wapi kwani? Mpaka uvitafute. Nara ya mwisho uliviacha wapi chumba na sebule tukusaidie kutafuta
 
Kwa mahitaji ya vyumba na Nyumba za kupangishisha Dar es salaam. Njoo pm
 
Habari zenu na Poleni na matamko wana jamvi!! Natafuta chumba na sebule Maeneo ya kijitonyama,makumbusho, Mwenge au Mbezi beach. Isiwe uswahilini sana, bajeti yangu ni 100,000.
Ongeza 80, nikupe nyumba nzima mbezi msakuzi, utafurahi mwenyewe
 
Hapa hapa bila PM me nipo tayari Mkuu. We unacho Maeneo gani?
Vipo Kigamboni, bunju, madale , tegeta , Tabata , Kinyerezi , yombo buza , kimara, gongo la mboto, Mbezi msumi, Sinza , mabibo , ubungo na kawe.
 
OK!! Bei za sinza kwa aina hiyo ninahohitaji inakuwa ina range kwenye sh ngap Mkuu?
 
Mkuu mimi sio dalali ila jirani yangu amejenga vyumba vizuri sana vya kupangisha ni chumba,sebure na jiko self, bei yake ni 150 umeme na maji vipo, inapatikana wazohill!
 
Wazo Hill ni maeneo gani...
Katikati ya Tegeta na Bunju??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom