Natafuta Chumba Mwanza

Natafuta Chumba Mwanza

Lyetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2018
Posts
1,396
Reaction score
3,738
Habari zenu wakuu.

Nijikite moja kwa moja kwenye mada.
Ninatafuta chumba Mkoa wa mwanza wilaya Ilemela, gharama isizidi 50,000/=.
Kwa yeyote ambaye anaweza kua na namba za dalali au kunisaidia kufanikisha jambo hili,
karibu kwa msaada.
Asanteni.
 
Unapenda kukaa kata ipi?
Mie nina nyumba yangu nina pangisha kuna baadhi ya vyumba viko wazi, iko Kirumba.
Vyumba vilivyobaki sio self, uta share vyoo na wapangaji wengine.
Lakini pia napokea kodi kwa kuanzia miezi mtatu na kuendelea. Bei ya chumba kimoja ni Tshs.30,000/=.
Unalipa kabla.
Umeme upo, maji yapo.
Sharti langu mpangaji awe na shughuli halali inayompatia riziki, sipangishi mzururaji au changudoa. Pia kama unavuta bangi au kutumia madawa ya kulevya kwangu hutapokelewa.
Kama uko tayari kwendana na masharti yangu, njoo PM
 
Back
Top Bottom