Natafuta chumba kimoja master, niko Morogoro

Brown Mduma

Senior Member
Sep 29, 2020
180
283
Wakuu niko Moro nilikuwa nataka chumba kimoja chenye choo ndani bajet 40000 hela ya dalali wakuu hali sio shwari kodi ipo ya miezi 3.

Msaada mwenye connection
 
Nani natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Ruvu au mlandizi. Kwa mawasiliano 0766244848.
Asante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom