Natafuta chumba eneo la buguruni

Natafuta chumba eneo la buguruni

said rashid

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
203
Reaction score
113
Salaam sana ndugu zangu wa jf! Mwenye uwezo namuomba anisaidie nipate chumba maeneo ya buguruni sheli karibu na stendi ya muhimbili. Nyumba iwe na muonekano mzuri kwa nje, umeme, huduma ya maji iwe karibu, isiwe karibu na makelele au danguro la machangudoa, usalama wa mali n.k. Atakaenipatia chumba sitamuacha mikono tupu, na nawatangulizia shukrani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom