cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,772
- 5,308
- Thread starter
- #21
Iv tumain ipo kurasin sehem ganHiyo bei niliwahi kulipa kwa Azizi Ally mwaka 2009 tena ilikuwa unfinished house!! Zaidi ya umeme na choo cha kuchangia, maji kwa jirani!!
Hiyo mitaa, hususani kwa Azizi bei ya vyumba siku hizi ipo juu kutokana na ukaribu wake na TIA pamoja na DUCE na hivyo demand kuongezeka. Na kutokana na fagia fagia ya Kurasini, nadhani hata Tumaini Kurasini Campus nao sitashangaa nikisikia wapo wanaokaa kwa Aziz!!