Ukipata Self Modeko, nenda kaishi huko. Nilipapenda kwa kuwa hakuna shida ya Maji na umeme. Niliishi miaka 2 bila shida.
But, usipelekwe Chamwino, Mafiga na uswahilini. Utajuta.
Forest kwa bajeti yako hiyo hupawezi. Tafuta dalali akusaidie
dalali makinikiahahahah binafsi mie nampenda sana! hanaga ujinga ujinga!akikuambia saa nne njoo ni uje kweli!
ahaa procurement officer hao deal yoyote mezan 10% kwanza ndo tupeane mchakatoWazee wa "10 percent" [emoji23]
Hapana sio Uswazi ni Kuelekea Mazimbu Ukivuka tu Iringa Road.mhhh modeko??sikufaham lakin nahis ni uswaz mby
Pale pameharibiwa na watoto wa mama amina [emoji4] [emoji28] [emoji28]hahahha kwa ubora wako mamy!una guts sana za kukaa samaki samaki! mie napaona pakiwindaji eti??au ushamba! binafs ht ningekuwa alone pale pagumu jaman!mie jiwe langu black n whte au moro hotel basi! tena kwa nadra sanaaa!
Yule ni Mlevi mwenye kusaidia aliwahi nisaidia issues Fulani muhimu Sana nilipokuwa kwenye mji huo. Sio tapeli na Hana tabia ya wizi.kama unayo msaidie! niachane na huyu' mlefi'
Pale pameharibiwa na watoto wa mama amina [emoji4] [emoji28] [emoji28]
Hata wastaarabu mnachukuliwa mnauza.
Black an white so classic.
Si Mbali na Mjini kwa daladala ni 400 mpaka stand. Kwa boda ni buku maximum 2000 nyakati za usiku. Mji ule haona foleni za magari.Thanks mkuu huko modeko ndio pawe kipaumbele kwani ni mbali na mjini ??
Haha nilipozuru ule mji pale kwenye swimming la hapo mahali Moro hotel nilibahatika kupata hiyo rangi nikasafisha nyota.'wanauza' yap blak pako poa!me ndo napaelewaga! mor hotel vitoto vng kwel vya kihindi15-27yrs arghhh
black n white ipo mitaa gani? Watu tusio wa viwanja utatujua tuu [emoji23]Haha nilipozuru ule mji pale kwenye swimming la hapo mahali Moro hotel nilibahatika kupata hiyo rangi nikasafisha nyota.
black n white ipo mitaa gani? Watu tusio wa viwanja utatujua tuu [emoji23]
nguzo primary unafika?mbele kias ya moro hotel
Unapita kuelekea Rock... Sio mbali Sana na nguzo.nguzo primary unafika?
daah mitaa ile enzi za ujana tulikuwa tunapandisha vilima vile mazoezini. Moro imekuwa aisee,,ulikaa mitaa gani mkuu?Unapita kuelekea Rock... Sio mbali Sana na nguzo.