Natafuta chumba cha kupanga Mbagala

bukoba boy

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
5,371
3,946
Wakuu
Kama kichwa kinavyosema,kuna ofisi nimepata maeneo ya Charambe viwandani.Sasa nataka nihamie maeneo ya huko,ni sehemu gani sasa nzuri naweza kukaa,ila uswahilini kabisa siwezi.
Bei kwa mwezi chumba standard ni shilling ngapi?Madalali kazi kwenu miminikeni PM
 
Inategemea chumba una taka chenye ubora gani vipo 20 25 hadi 30 kama unataka ushuani njoo zakhemu 70 kwa mwezi maji na umeme private toilet
 
Back
Top Bottom