Punda wa Dobi
JF-Expert Member
- Jul 4, 2013
- 591
- 239
Jaman me natafuta chumba maeneo ya shekilango or sinza opposite na mliman city bei 50
Ukipata cha bei hiyo kwa hayo maeneo uliyotaja niite, ntakulipia kodi ya miaka mitatu
Jaman me natafuta chumba maeneo ya shekilango or sinza opposite na mliman city bei 50
ckuelew bhana nambie ntapata chumba cha shingap bas am seriously lukin for itYaani ukipata cha 80 elf hutaingia maana ni cha ajabu balaaa
me ntakuwa wangap kulipiwa na WW?Ukipata cha bei hiyo kwa hayo maeneo uliyotaja niite, ntakulipia kodi ya miaka mitatu
me ntakuwa wangap kulipiwa na WW?
ucjal nikitaka kupanga apartment maeneo ya upanga Hivi ntakwambia unilipie hata miaka 2 ukitakaNamba 1