Nahitaji chumba kimoja cha kupanga dar. Muhimu kiwe na umeme, maji, choo bafu na usalama.
chumba na sebule, around mabibo hostel, tiles, umeme, maji yapo. 100,000/- per month. Six month pay.
Pm if interested.
teh teh tembea uone vyumba hapa mjini mpaka buku 20,000 vipo babu.
bro wale madogo wa chuo
niliwaelekeza pande za kigamboni, wamegoma kabisa sijui wanaogopa
kivuko.
bado vinahitajika kama viwili tena