Natafuta chumba cha kupanga, Dar es Salaam

Natafuta chumba cha kupanga, Dar es Salaam

vip wadau jitokezeni vyumba bado vinahitajika
 
Kipo Kinondon hatua chache kutoka uwanja wa biafra, nyuma ya open university bt hakuna umeme.. Elfu 30,000 miezi 6.. 0789634651
 
mi nahitaji maeneo ya kinondoni,makumbusho, kiwe master room. sehemu ambako gari inafika hadi nyumbani. hata single poa ila choo kiwe ndani ya fence.
 
Chumba self contained kiwe mitaa ya Sinza au Mwenge au Kawe kinahitajika
 
hata mimi nahitaji
*ilala (amana hadi gereji)50,000 .
*banana..ukonga au mombasa.. 40,000
 
Habari wakuu, natafuta chumba kimoja cha kupanga kwa dar, kiwe na umeme, choo na bafu kwa nje kwa ajili ya wapangaji.Mwenye chumba aweke bei hapa.Aweke bei kwa mwezi itakua bei gani. Nipo serious kinahitajika haraka.Mwenye nacho aweke bei na aseme kipo dar sehemu gani.

nina chumba kuanzia elfu hamsini mpaka laki moja na nusu
aina zote hadi nyumba ninazo


maeneo ni mbezi beach yote mpaka tegeta kule

0713774746
 
ipo nyumba ya vyumba viwili ,choo ,jiko na sebule 350000, iko ndani ya fensi tegeta chanika mbele kidogo ya tegeta nyuki .0714890018
 
Ipo ya vyumba viwili na choo ndani, full maji, ndani ya fense, mlango wako mkuu una grill, ndani gypsum, tiles, na aluminium windows, bei ni Laki moja tu kwa mwezi, mahali ni Mbezi beach karibu na baraza la mitihani.
 
Ipo ya vyumba viwili na choo ndani, full maji, ndani ya fense, mlango wako mkuu una grill, ndani gypsum, tiles, na aluminium windows, bei ni Laki moja tu kwa mwezi, mahali ni Mbezi beach karibu na baraza la mitihani.

Ebwana hebu n pm no yako nikutafute kesho
 
nafikiri thread ya nyumba/vyumba vya kupanga iwe STICKY hapo juu.
Invisible
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom