Natafuta chumba cha kupanga, Dar es Salaam

Natafuta chumba cha kupanga, Dar es Salaam

Ipo ya vyumba viwili na choo ndani, full maji, ndani ya fense, mlango wako mkuu una grill, ndani gypsum, tiles, na aluminium windows, bei ni Laki moja tu kwa mwezi, mahali ni Mbezi beach karibu na baraza la mitihani.

Anapokea kodi ya miezi6?
 
Habari wakuu, natafuta chumba kimoja cha kupanga kwa dar, kiwe na umeme, choo na bafu kwa nje kwa ajili ya wapangaji.Mwenye chumba aweke bei hapa.Aweke bei kwa mwezi itakua bei gani. Nipo serious kinahitajika haraka.Mwenye nacho aweke bei na aseme kipo dar sehemu gani.

Ubungo msewe kuna chumba , bei 50,000 kwa miezi sita .. Unataka?
 
ok vip kuhusu maji, umeme,usalama,ukubwa wake, ok wewe ni dalali au ni mwenye chumba.
 
Naitaji nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili na sebule, Choo ndani na kuwe na luku yako, maji yawepo kuwe na usalama. Maeneo ni kati ya Mabibo au mburahati, kodi isizidi 150,000 kwa mwezi
 
Dalali wa magomeni na Upanga.Hasa hasa Upanga na Kariakoo tuwasiliane tafadhali
 
Jaman me natafuta chumba maeneo ya shekilango or sinza opposite na mliman city bei 50
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom