Kariakoo mkuuHabari za jioni wakuu, msaada anayefahamu chimbo la vijora vya jumla kwa hapa Dar
Avatar Ndiyo Wewe Mwenyewe Ama?Habari za jioni wakuu, msaada anayefahamu chimbo la vijora vya jumla kwa hapa Dar
Tandika SokaniMaeneo gani mkuu maana sehemu nilizozunguka wanauza Pc kwa 13
Tumechelewa Sana Ndugu Zangudah mkuu
Umeenda sehemu gani, vijora ni buku 7 tena na mtandioMaeneo gani mkuu maana sehemu nilizozunguka wanauza Pc kwa 13
Vijora VijoraWapi mkuu? Naomba connection
Hivi vitakuwa vya mombasa dearMaeneo gani mkuu maana sehemu nilizozunguka wanauza Pc kwa 13
kuna mtu insta anauza elf 12Yes dear
Binadamu ndivyo tulivyo, huyu anauza 11500 check nae anaweza kukupunguziaKuna chimbo jumla 10k na mtandio ila ndiyo hivyo kuna mtu hataki kunipa connection yani