FakeGirl Naomi
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 226
- 705
Jamani nilikuwa na simu yangu smartphone, ni nzuri ila haikai na chai, dakika chache tu iko hoi
Hadi ilifikia wakati ambapo nahitaji kujipumzisha na simu yangu lakini haina chaji hata ya dakika 5
Nataka ninunue zile za zamani ngangari zinazokaa na chaji hadi siku 7!!!
Pliz yeyote mwenye chaja ya PIN KUBWA anitafute, mi nakosa raha huku kwa sababu ya chaji.
Pliz help me, Am dying with a thirsty of RELIABLE service!
Pin ndogo haitoshi kwenye lile tundu la pin kubwa
Na madukani nimepita hawana.
najua mtaani zitakuwepo hata zile ZILIZOHARIBIKA kidogo.
mi nazitaka hivyohivyo, HATA KAMA ya kuazima
PLIZzz