Natafuta canon photocopier medium sized -mpya au used

Natafuta canon photocopier medium sized -mpya au used

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
625
Reaction score
95
Wapendwa nataka kuanza biashara ya kutoa photo copy na ku type barua kwenye computer
sasa nitapata ile photocopier machine medium sized?
Sina hela ya ile kubwa na hata biashara yenyewe ipo sehemu ambayo siyo busy sana
asanteni kunisaidia nitapata wapi?
 
budget yako ni shilingi ngapi???
 
nenda pale powercomputers telecomunication nilinunuaga pale nzuri tu kwa kweli
 
Wapendwa nataka kuanza biashara ya kutoa photo copy na ku type barua kwenye computer
sasa nitapata ile photocopier machine medium sized?
Sina hela ya ile kubwa na hata biashara yenyewe ipo sehemu ambayo siyo busy sana
asanteni kunisaidia nitapata wapi?

mimi ninayo photocopy canon haijatumika sana canon ya mezani. Kwa mawasiliano nitafute kwa number ya simu hii 0713935738
 
nenda pale powercomputers telecomunication nilinunuaga pale nzuri tu kwa kweli

Kaka naomba unisaidie power communication ipo mtaa gani na ni karibu na wapi?
WEWE ULINUNU KW KIASI GANI? ASANTE SANA KWA KUJALI KUSOMA NA KUJIBU SHIDA YANGU
BARIKIWA NA MUNGU
 
Kaka naomba unisaidie power communication ipo mtaa gani na ni karibu na wapi?
WEWE ULINUNU KW KIASI GANI? ASANTE SANA KWA KUJALI KUSOMA NA KUJIBU SHIDA YANGU
BARIKIWA NA MUNGU
kwa sasa wanauza 2m only

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: homeCorTxt, align: left"][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="width: 96%, align: left"]Principal Business Address:
Elia Complex, at the corner ofZanaki-Bibi Titi Rd. - Dar-es-Salaam
map_small.jpg
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Duu hiyi bei ya 2 million ni mpya? Maana nimesikia mpya ile kubwa ni 2.2
mimi nataka used na mdium sized ya mezani tu kaka yangu
asante nimepaelewa ni wapi ulipoelekeza
nitakwenda kuangalia hawa kwa vyoyote wanauza mpya sidahni kama nitapata used pale?
Asante kaka
[table="width: 100%"]
[tr]
[td="class: Homecortxt, align: Left"][/td]
[/tr]
[/table]
 
Canon... nenda jengo la Haidari Plaza, utazikuta saizi zote na bei tofauti
 
canon... Nenda jengo la haidari plaza, utazikuta saizi zote na bei tofauti

duuh asante mwana jamii forums nami sasa ndio nakumbuka pale haidery plaza kuna kila aina ya vitu
asante nitakwenda mkuu
 
Nenda VETA chang'ombe ... Sophia House wako jamaa wanauza!! Nilinunua canon IR 1600 kwa 1.1 milioni
 
Back
Top Bottom