Natafuta Camera na TV

Natafuta Camera na TV

Ndama dume

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2019
Posts
858
Reaction score
1,493
Nahitaji camera used ila isiwe used sana Canon D1200 au Nikon na TV inch 32 LG.

Camera nina ofa ya 5k
Tv nina ofa ya 35k

Dondoka nawe na ofa yako ila kitu kiwe kizima maana najuwa kukagua.
 
Nahisi sasa mmeshaelewa ni laki 5 na laki 3.5 kwa tv
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom