salome peter
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 379
- 271
Niliona mtu katangaza anatengeza bustani za maua majumbani aliweka namba za simu nikipiga hapatikani naomba arudie tangazo na namba simu
uko wapiNapenda sana ila sijawapata wanaotengeneza bustani za maua majumbani
au ushapata mtaaram wa maua?uko wapi