Natafuta Business Mentor and partner

Natafuta Business Mentor and partner

hongera mkuu,naona umejikoki vizuri,sema naona huna confidence vile,lol,kama ukikosa mentor,please pitia topics humu JF kuhusu biashara unayotaka kufanya,ingia kwenye topics upate mentor wa online,sio lazima awe morogoro mkuu,again hongera kwa kufikiria kujiajiri na sio kuajiriwa kama wengi graduates wanavyofikiri.
Kweli naona ameonyesha hilo la upungufu wa ujasiri.mjasiriamali anapaswa kuwa jasiri.kuna baadhi ya maneno umeyaweka yanaonyesha upungufu wa confidence.lakini umepangilia vizuri.lazima jambo lako lisogee maana umeshalifanyia utafiti kabla ya kulianza ,akiongezeka na huyo unayemuhitaji basi utafikia lengo.ingawa sababu za kumuhitaji umebakiza kuwa ni jambo lako.
 
Yeah...asante mkuu...lengo la huyu mtu wa pili sio personal...I believe in others lines of work and specialization....I can do better on the production part and I can learn the marketing part...and that could be much easier with a person with experience in marketing...I can take the risk but am just looking for a way to minimize it...also I believe two heads are better than one and out there there are many young graduates and young people with marketing skills (which I don't have at least for now).....so its better to join hands with someone mutual though kuna risk pia
 
Kweli naona ameonyesha hilo la upungufu wa ujasiri.mjasiriamali anapaswa kuwa jasiri.kuna baadhi ya maneno umeyaweka yanaonyesha upungufu wa confidence.lakini umepangilia vizuri.lazima jambo lako lisogee maana umeshalifanyia utafiti kabla ya kulianza ,akiongezeka na huyo unayemuhitaji basi utafikia lengo.ingawa sababu za kumuhitaji umebakiza kuwa ni jambo lako.

😛😛😎
 
Thanks for the advice ..and yes I am afraid coz sijawahi kufanya hii kitu...online mentors...yes lakini its not my priority for now...most of them wanaandika vitu ambavyo hawajawahi hata kuvifanya...wanaandika theoretical projects which we did a lot in school...ninachohitaji ni elimu ya upande wa pili (mtaani)...ili niziunganishe na hii formal and I hope ntapata kitu kizuri....thanx btw and karibu kwa ushauri zaidi..nipo flexible kujifunza

Nadhani alivyosema online mentor alimaanisha yule ambaye amewahi kufanya shughuli unayotaka kuifanya. Hivyo unaweza kwenda anakofanyia ili ukajifunze kivitendo maana inaelekea bado hujawa na full confidence (ni jambo la kawaida tu kwa mtu anayeanza). Hivyo ndivyo ningefanya mimi binafsi iwapo ningetaka kufanya shughuli unayotaka kuifanya.
 
Thanx broo
 
Back
Top Bottom