Natafuta Business Mentor and partner

Natafuta Business Mentor and partner

Nick Furry

Senior Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
182
Reaction score
185
Heloooo...Naitwa Nick...nipo Morogoro mjini...ni mwanafunzi wa shahada ya sayansi, uzalishaji na teknolojia ya wanyama (Agricultural Animal science and production)..Mungu akipenda mwezi huu naweza nikahitimu.
Baada ya kuhitimu nina mpango wa kuanza kufuga kuku wa kisasa (broilers and layers) na wa kienyeji (locals) hapa Morogoro...banda nishapata (approx. 1500 chicken capacity)..nina incubator ndogo (120-140 eggs capacity)..nina mtaji wa sh. 800,000/= (cash on hand)......nina ujuzi wa menejimenti ya mifugo almost kila aspect (feeds formulation.., diseases diagnosis, control and treatment...biosecuritymeasures...housing..breeding...etc)...nimeandika business plan kiasi.
ninachokitaka hapa jukwaan ni mentor anayefanya na mwenye uzoefu wa hii biashara kwa hapa morogoro...at least awe na kuku 1000 (commercially)..namuhitaji sana mtu wa namna hii coz nataka nipate elimu ya mtaani kuhusu ujasiriamali....haitojalisha elimu alonayo cha msingi awe ana ujuzi wa hii biashara hasa upande wa masoko.
Pia nahitaji business patner...awe muhitimu wa diploma au shahada ya biashara (bussines administration, accountant, procurement, agribusiness, economics....etc)....awe anaishi Morogoro and awe na ujuzi wa kutafuta na kusimamia masoko....will be better kama ataweza kuwekeza at least tsh 600,000/=....
Mainly ni huyo Mentor ndo namihitajizaidi..pleaseeee...nipo tayari kufanya kazi kwake for one month just to learn.
0755764161...that is my phone number
 
hongera mkuu,naona umejikoki vizuri,sema naona huna confidence vile,lol,kama ukikosa mentor,please pitia topics humu JF kuhusu biashara unayotaka kufanya,ingia kwenye topics upate mentor wa online,sio lazima awe morogoro mkuu,again hongera kwa kufikiria kujiajiri na sio kuajiriwa kama wengi graduates wanavyofikiri.
 
hongera mkuu,naona umejikoki vizuri,sema naona huna confidence vile,lol,kama ukikosa mentor,please pitia topics humu JF kuhusu biashara unayotaka kufanya,ingia kwenye topics upate mentor wa online,sio lazima awe morogoro mkuu,again hongera kwa kufikiria kujiajiri na sio kuajiriwa kama wengi graduates wanavyofikiri.
Thanks for the advice ..and yes I am afraid coz sijawahi kufanya hii kitu...online mentors...yes lakini its not my priority for now...most of them wanaandika vitu ambavyo hawajawahi hata kuvifanya...wanaandika theoretical projects which we did a lot in school...ninachohitaji ni elimu ya upande wa pili (mtaani)...ili niziunganishe na hii formal and I hope ntapata kitu kizuri....thanx btw and karibu kwa ushauri zaidi..nipo flexible kujifunza
 
Back
Top Bottom