Natafuta bush za fusser unity ir 2016 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta bush za fusser unity ir 2016

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by no9, Apr 19, 2012.

 1. no9

  no9 Senior Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 2. no9

  no9 Senior Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hii fan ina watu wachache
   
 3. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mkuu hebu funguka /dadavua zaidi haujasomeka kabisaaaa utashindwa kusaidiwa mkuu
   
 4. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Mkuu hii ndio fuser unit ya IR
  [​IMG]

  Hizo bushing zipo upande gani au ni hizi
  [​IMG]
  hizo hapo juu wengine wanaziita pressure roller bushing ipo na ya mviringo yake, ni ipi Mkuu ?
   
 5. no9

  no9 Senior Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Zile za chini kwenye lola ya chini ile nyeusi kama mpira upande wa kulia kwenye sensor ya film upande wenye nyaya nyembamba bush yake nikama hizo na upande wa kushoto ni ya round
   
 6. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  mkuu nadhani nimezipata tayari jamaa yangu anazo nimeku-PM tuone ni vipi naweza nikakutumia popote ulipo
   
Loading...