GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,068
- 16,380
Hii gari inapita mwanza.?Kama unataka usafiri wa usalama kabisa .ila utachelewa kufika pia, Safiri na Basi la TRAVEL PARTNER.ni wastaraabu sana wale jamaa. Ukitaka prukushani za mbio mbio na roho mkononi safiri na mabasi mengine kama HAPPY NATION au FRESTER
Zipo mkuu!frester,happy nation,osaka...Hivi kuna gari yakuunga dar to bukoba,nadhani dar to mwanza then mwanza to bukoba
PoleHappy nation hakuna kitu nilipanda saa kumi Dar na nikafika Mwanza saa kumi alfajiri siku ya pili. Kila kituo linaharibika sirudi na sipandi tena.
Panda Allys ndio bora haswa ukipata lile la kwanza kabisa saa kumi asubuh unafika Mwanza saa nne usiku
Yani zina kunguni wale wadudu au ni msamiati huo?Zipo mkuu!frester,happy nation,osaka...
Ila nyingi uvumilie kunguni
kunguni waduduYani zina kunguni wale wadudu au ni msamiati huo?
Panda Happy Nation.Natokea dar kwenda bukoba
Zipo nyingi boss. Unalala Kahama wakati unakuja Bukoba,ila ukitoka Bukoba kwenda Dar hulali popote ni mpaka unafika Mbezi.Hivi kuna gari yakuunga dar to bukoba,nadhani dar to mwanza then mwanza to bukoba
Happy Nation. Ni wasafi.Lipi zuri kati ya hayo?
Hakuna Gari ya bukoba inayopita mwanza.kama unaenda mwanza panda ya mwanza,kama unakwenda bukoba panda ya bukoba.Mwanza yako mwengi zaidi ya BukobaHii gari inapita mwanza.?
Pa kifala mno....wenyeji ni wachafu na weusi Sana.Ni yapi hayo ,natamani kufika bukoba siku moja
Dar to mwnz gari ni ally's tu kwasisi tunaojali muda ,, nikikosa hiyo kampuni sisafiri.. yaan unatoka dar alfajir mwnza saa 4 tu tena sio hiyo ya kwnza gari zao zote zinajali mudaHappy nation hakuna kitu nilipanda saa kumi Dar na nikafika Mwanza saa kumi alfajiri siku ya pili. Kila kituo linaharibika sirudi na sipandi tena.
Panda Allys ndio bora haswa ukipata lile la kwanza kabisa saa kumi asubuh unafika Mwanza saa nne usiku
Panda ally's star kama unajali muda wa kufika kama huna haraka panda hizo zingineHii gari inapita mwanza.?
Osaka ni gonga nyundo yaan mkangafu sio usafiri ule kumdanganyaZipo mkuu!frester,happy nation,osaka...
Ila nyingi uvumilie kunguni
Alisimama kwa muda, bado hajarudi barabaraniKama unataka usafiri wa usalama kabisa .ila utachelewa kufika pia, Safiri na Basi la TRAVEL PARTNER.ni wastaraabu sana wale jamaa. Ukitaka prukushani za mbio mbio na roho mkononi safiri na mabasi mengine kama HAPPY NATION au FRESTER
Ally's DXS series, wanaenda na muda sanaHappy nation hakuna kitu nilipanda saa kumi Dar na nikafika Mwanza saa kumi alfajiri siku ya pili. Kila kituo linaharibika sirudi na sipandi tena.
Panda Allys ndio bora haswa ukipata lile la kwanza kabisa saa kumi asubuh unafika Mwanza saa nne usiku
Zote mkuu ally's ziko poa
Doo! Wacha mkuuPa kifala mno....wenyeji ni wachafu na weusi Sana.