Genoveveive John
Member
- Mar 4, 2017
- 11
- 26
Natokea dar kwenda bukobaSafari ya bukoba kutokea wapi? Au kutokea bukoba kwenda wapi? Kwa mtindo huo hutapata unachokiulizia.
Nataka kutoka dar kuelekea bukobaWewe unatoka Bukoba au Unaenda Bukoba?
Hivi kuna gari yakuunga dar to bukoba,nadhani dar to mwanza then mwanza to bukobaNataka kutoka dar kuelekea bukoba
Asante sanaPanda Happy Nation,bado halina mpinzani, full AC na sehemu ya kucharge simu
Yapo bestHivi kuna gari yakuunga dar to bukoba,nadhani dar to mwanza then mwanza to bukoba
Ni yapi hayo ,natamani kufika bukoba siku mojaYapo best
Asante sanaKama unataka usafiri wa usalama kabisa .ila utachelewa kufika pia, Safiri na Basi la TRAVEL PARTNER.ni wastaraabu sana wale jamaa. Ukitaka prukushani za mbio mbio na roho mkononi safiri na mabasi mengine kama HAPPY NATION au FRESTER
Dar - kahamaHivi kuna gari yakuunga dar to bukoba,nadhani dar to mwanza then mwanza to bukoba
Frester, happy nation, na mengine mengiNi yapi hayo ,natamani kufika bukoba siku moja
Lipi zuri kati ya hayo?Frester, happy nation, na mengine mengi
Hiyo gari last week ilipata ajari Kibaigwa ikitokea Bukoba ilisababisha kifo Cha mtoto wa rafiki yangu tumezika last week, pia yeye mwenyewe alichanwa mguu vibaya hivi Sasa hawezi hata kutembea. Sitaki hata kuisikiaPanda Happy Nation,bado halina mpinzani, full AC na sehemu ya kucharge simu
Aiiiii hii mbona kaliHivi kuna gari yakuunga dar to bukoba,nadhani dar to mwanza then mwanza to bukoba