Natafuta Boyfriend aliye serious

Sijui hata nikuelezeeje, lakini wazungumzaji wa kiswahili wanaelewa, yaani sipendi mtu anayetafuta attention ya watu kwa kujishow off, kubwatukabwatua, kujifanya yuko juu, kujikweza na kuwaletea wengine majigambo, eg. wahudumu wa migahawa

Asante sana
 
30yrs mwenyeji wa kilimanjaro,elimu ya chuo 4degree,
 
Mi ninazo zoote kasoro moja tu, siko Dar
 
Mpango wa mafanikio ya berlin uko inversely propotional to marriages jiulize why
 
Duu miaka 28 bado unahitaji boyfrnd? Y not mume? Nahisi ungejaribu kwenda za Mungu ukimwuliza habari ya Mume siyo mchumba wala bf
 
ni PM tafazali.
 
Nasubiri ufike 30 ili uongeze sample space hasa kwenye mikoa anayotoka, dini na elimu.
 
Huuuii haya sasa vijana wangu, pigeni tongozo Mpwa wenu nifurahi mbona mnaishia kujikanyagakanyaga tu? Pigeni sound niwasikie vijana wangu kama mko doro njooni PM niwape somo, kha! mnataka mpewe nini? mtu na degree kabisaaaa
 
Hivi huyu binti ni tofauti na yule wa Mabibo Hostel aliweka video mtandaoni ya kutafuta mwanaume? nani mwenye ile video aipandishe hapa? nuiko nayo kwa WhatsApp but sijui namna ya kuiweka aisee......
 
Umesahau kumention size ya Dush.......
 
Huuuii haya sasa vijana wangu, pigeni tongozo Mpwa wenu nifurahi mbona mnaishia kujikanyagakanyaga tu? Pigeni sound niwasikie vijana wangu kama mko doro njooni PM niwape somo, kha! mnataka mpewe nini? mtu na degree kabisaaaa

Tatizo sio dgree mkuu... hatuto... mbi dgree mtu husika je ananeema za allah vgezo katoa kibao ye anavyo
 
Tatizo sio dgree mkuu... hatuto... mbi dgree mtu husika je ananeema za allah vgezo katoa kibao ye anavyo

Sasa ushaambiwa mtu Ni mwenyeji wa Kilimanjaro hizo Neema za Allah azote wapi? Wale wanaangalia pesa tu Nido maana kataja degree hajataja sura
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…