Natafuta Boyfriend aliye serious

I am 31 still single ila kwenye kadigrii sasa si qualify ila kama hutojali hilo ni pm
 
Njoo PM tuongee sio nikutumie namba haraka hivyo, tutachat hata live before hatujaonana physically.

mm kuchat katika mitandao huwa muda sina ninakuwa busy wewe nipe number mm nitakutafuta.
 
mm kuchat katika mitandao huwa muda sina ninakuwa busy wewe nipe number mm nitakutafuta.

Pole, but number yangu so soon sitakupa my Dear, uko too busy kuchat kwenye mitandao but humu within few days umejoin umeweza kurusha 61 posts, We ni noma, sijui muda ulitoa wapi!, by the way tafuta mtu anayeweza kukupa namba yake simply kihivyo.
 
Mh dada hapa umeumia. Hebu soma tena username ya mdau.

Asante, bora na Wewe umeona, anafanya mzaha huyu!, eti number, so soon, anafikiri ni michezo ya huko waplog na badoo, aache mzaha bhana!
 
Pole, but number yangu so soon sitakupa my Dear, uko too busy kuchat kwenye mitandao but humu within few days umejoin umeweza kurusha 61 posts, We ni noma, sijui muda ulitoa wapi!, by the way tafuta mtu anayeweza kukupa namba yake simply kihivyo.

hahahaa unasababisha niicheke mpk chumba cha pili wameamka.napenda kuchat na ww tatizo muda wangu ni usiku tu mchana nakuwa busy na utafutaji pesa.
 
Ninatamani kua mimi ila tatizo sina sifa kibao kati ya ulizotaja cjui utanisaidia vp ila niko single( devoced)
 
Awe anatoka Kilimanjaro ama Arusha. Awe father wa katholic. Mmmh malizia tu lazima atoke CHADEMA
 
Mcheshi na mpole? Watu wengi hizi sifa hawana kwa pamoja. Anyway ngoja nije pm tutaelewana.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…