B Bobo Member Aug 20, 2011 54 8 Apr 26, 2015 #1 Habari zenu waungwana, kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza natafuta body ya deep freezer ya aina yeyote ile yenye urefu wa futi 6 hadi 8. Mwenye nalo naomba ani pm. Liwe ndani ya eneo la dsm.
Habari zenu waungwana, kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza natafuta body ya deep freezer ya aina yeyote ile yenye urefu wa futi 6 hadi 8. Mwenye nalo naomba ani pm. Liwe ndani ya eneo la dsm.