Somo linaashiria nahitaji kununua bodaboda kwa ajili ya biashara. Iwe SANLG, TBETTER,TOYO 150CC hata kama aina nyingine nishawi nitaichukua. Isizidi miezi 6 toka isajiliwe kufanya biashara. Nazihitaji fasta hata zikiwa 3 poa tu. Nipo Dar 0715719171 bajeti ni maelewano.