Natafuta bmw convertible for hire kwa arusi

Natafuta bmw convertible for hire kwa arusi

Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
5,435
Reaction score
1,611
Habari zenu wana jf, ninatafuta bmw convertible ya kukodi kwa ajili ya arusi mwezi wa saba mwaka huu Dar es Salaam, nina prefer zaidi rangi nyeusi, lakini rangi yoyote ni sawa kama nyeusi haipatikani, naomba mwenye nayo au taafira anipe PM please.
natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom