Natafuta Bitumen carpet Mwanza

Natafuta Bitumen carpet Mwanza

Njimbi Niggolo

New Member
Joined
Nov 15, 2021
Posts
3
Reaction score
2
Wana JF habari ya wakati huu.

Nahitaji kununua bitumen carpet zile ambazo huchomelewa sehemu ambazo zinaweza vujisha maji hasa zege la floor slab. Naweza kupata wapi hiyo bidhaa kwa anayeuza kwa kipima (mfano kwa m) kwa hapa Mwanza.
 
Back
Top Bottom