Kwa Kiswahili hicho Nahisi Hutapata Hata Mmoja labda Upate Mhariri
Afu huyo Dada awe mwalimu wa kiswahili...
Afu huyo Dada awe mwalimu wa kiswahili...
Kwa Kiswahili hicho Nahisi Hutapata Hata Mmoja labda Upate Mhariri
Watu wanao mix 'r' na 'l' wananikera shelehe ndo kitu gani sasa
Shelehe= Sherehe
Ilimladi= Ili mradi
Kutangawa = Kutangazwa
Kuya kihistory = ni ya kihistoria
Pekeako = peke yako
Akae = atakayekuwa
Vishiliki =vishiriki
NAKUTAKIA UTAFUTAJI MWEMA
Watu kama nyie ndo mnakishushia hadhi kiswahili, inasikitisha sana.
Mkuu napendekeza mtoa mada akung'ang'anie inawezekana kwako atajifunza vingi.
Mfikirie tu.....kila la kheri