nyakatende nyumbani
Member
- Dec 9, 2014
- 65
- 15
Vipi wa kiume atakufaa?
Mpigie huyo atakusaidia 0715 573 747Jamani natafuta binti wa kazi nipo dsm mbezi kikubwa atakuwa anabaki na mtoto wa mwaka na nusu, kupika chakula salary elfu 40 familia ina mke, mume na watoto wawili tunampenda Mungu hakuna wa kunyanyasa mtoto wa mtu 0683 666 702
Mi nipo iringa kwenye kiwanda kabisa, unapata dada safi kabisa, hila vigezo na masharti kuzingatiwaJamani natafuta binti wa kazi nipo dsm mbezi kikubwa atakuwa anabaki na mtoto wa mwaka na nusu, kupika chakula salary elfu 40 familia ina mke, mume na watoto wawili tunampenda Mungu hakuna wa kunyanyasa mtoto wa mtu 0683 666 702
Naomba vigezo na masharti pmMi nipo iringa kwenye kiwanda kabisa, unapata dada safi kabisa, hila vigezo na masharti kuzingatiwa
Sent using Jamii Forums mobile app