Natafuta Bata Bukini (Goose)

Natafuta Bata Bukini (Goose)

Nenda pale Sinza karibu na shule ya msingi Mugabe,kuna jamaa anauza ndege jamii tofautitofauti isipokuwa kuku, kibanda chake kipo kando ya barabara. Naamini atakusaidia
 
Duu, huyo unamtafuta hadi unamtangaza JF, kakuagiza gagula nini? si unajua hao huwa masharti yao yanazidi ya IMF? lol!

Itapendeza kama ameagizwa na Gagula kutafuta maliasili kama hiyo kuliko angemwambia alete kichwa cha albino au afanye.... na mtoto wa miezi 2

Kama uko Dar hebu jaribu kwenda kule Kigamboni hotel ya Sunrise unaweza kupata
 
Teh Teh Teh! Kama masharti yanatimizika na hayana madhara kwa kiumbe binadamu, ni poa tu mbona?
 
Nenda Makumbusho Kijitonyama kuna banda pale nimewaona juzi kati.
 
Mkuu kama unaconection na mtu yoyote kenya hasa mombasa chek nao..kuke bei poa na wako wengi..mimi natoa huko kwa bei ya ahueni
 
Hapa wanauzwa mpaka lak 250 wakati kule nilipata 4 kwa laki 280
 
Duu, huyo unamtafuta hadi unamtangaza JF, kakuagiza gagula nini? si unajua hao huwa masharti yao yanazidi ya IMF? lol!

hahaa Gagula mwenyewe anaogopa hii kitu maana ni shida atamwaaibisha
 
Mkuu nashukuru ungenipa namba yako mkuu...0754302768 kwa bei gan kaka
 
Kaka bado tunakufuatilia na hii nyuzi, vipi maendeleo ya bata bukini wanalipa kwa sasa? Na tufahamishe utagaji wao upoje pia ni mzuri?
Asante..
 
Ninao ninao bata mzinga piga 0754302768.ninao 50 funguka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom