natafuta bajaji matairi 3

natafuta bajaji matairi 3

malisoka

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
1,860
Reaction score
2,639
nisaidieni nitafuta bajaji tairi 3 ya kubeba abiria ni shs ngapi mpya? na iliyotumika ni shs ngapi na model ipi imara?
 
Piaggio ndo imara. Bajaj ni jina la kampuni, bei ni 5 million na ushee, used zinategemea na ubovu. Hadi 1.6 m
 
Fanya utafiti kwanza tvs ndio imara kuliko zote, bei ya mpya ni m5.5. Used cjui

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
asante mkuu ninafuatilia ijapokuwa huku nilipo ipo moja na ni ya TTCL ninategemea kwenu.
 
Back
Top Bottom