Huyu ndio pita au pita ni mwengine?
Subiri kwanza azaliwe dada ndio utamgawa nikweli huwezi kukosa mlezi
ninaujauzito miez 8 mhusika kaukataa kwa madai kuwa anamchumba wake anampenda sana na hata muelewa akimwambia kama anamtoto kwani anajua hana. tena kaniambia nisimtafute kabisa na namba kabadilisha najua nimetenda dhambi na nawaza sana mtoto wangu inamaana hatakuwa na baba? binafsi sina uwezo wa kumtunza.
najua kuna watu hum wanatafuta watoto hawana kuliko kutoa mimba bora kwa atakae kuwa tayari kumtunza amchukue.
wapo watakao nishangaa kwa hili lakin kuliko kutoa mimba bora nimpe baba yoyote mwenye shida na mtoto asanten jaman
Hapa dada hujatufafanulia namna mimba mlivyo peana, nadhani mlikuwa eapenzi mpaka mkapeana mimba pili kwake unapajua tatu yeye kuoa au kuwa na mchumba sio inshu wewe omba mungu ujifungue salama kisha mpelekee taalifa kwamba umejifungua mtoto.akikufukuza nenda polic katoe taalifa na toa maelezo toka mlivyo anza kupenfana mpaka mimba.hapo utapata msaada wa kishelia kuliko kumgawa kwa baba mwingine.
Pengine baadae anaweza kumkubali akamlea.