Na mimi ninakusaidia kwa kuhakikisha kuwa hiyo ni Asali mbichi ni ya kweli Siyo feki itabidi uiweke kwenye friji ikiwa haijaganda itakuwa ni ya kweli hiyo Asali mbichi Orignal lakini ikiganda hiyo ni Asali ni Feki iliyochakachuliwa ni hivyo Mkuu, Kupata Asali mbichi mijini ni kama kupata Almasi Sokoni tena unakuwa hiyo Almasi umeikota hapo Sokoni si rahisi nyingi za Asali zilizopo Masokoni ni feki zimechakachuliwa.wadau naombeni msaada asali nyingi za hapa bongo zimechakachuliwa, i am real inthe need of natural honey, tena asali mbichi, anybody who can help please PM me uniambie bei, na ntakupataje,naamini jf ndo mambo yote
Mmh mimi nimenunua asali ambayo iko katika pakeji inayoridhisha na inayo mawasiliano ya msambazaji zikiwemo namba za simu na box. NIKIITAZAMA SASA INAONYESHA ROBO YA CHUPA KUANZIA CHINI IMEGANDA NA IKIPATA JOTO INAYEYUKA NA KURUDI KAWAIDA. Sasa inamaana hii asali niliyoinunua nayo itakuwa FEKI ? Na huyu msambazaji amewezaje kuhalalisha kitu feki kwa kujitangaza kibiashara.
Kama unakaa Dar njoo Sinza madukani ule mtaa unaenda Namnaan hotel upande wa kushoto kuna duka linauza asali origino kuanzia nyuki wadogo mpaka wakubwa asali original haitakiwi kuganda...thanks
Na mimi ninakusaidia kwa kuhakikisha kuwa hiyo ni Asali mbichi ni ya kweli Siyo feki itabidi uiweke kwenye friji ikiwa haijaganda itakuwa ni ya kweli hiyo Asali mbichi Orignal lakini ikiganda hiyo ni Asali ni Feki iliyochakachuliwa ni hivyo Mkuu, Kupata Asali mbichi mijini ni kama kupata Almasi Sokoni tena unakuwa hiyo Almasi umeikota hapo Sokoni si rahisi nyingi za Asali zilizopo Masokoni ni feki zimechakachuliwa.
Hakuna haja ya pm subiri mwezi wa sita nitakuletaa orijino toka mikoa yenye kilimo hai!
Natania mkuu lakini kuna ukweli ndani yake
nenda kisutu sokoni ,inasemekana eti kutokana na kabila linaloishi maeneo yale pale watu hawachakachui!
Au nenda maliasili ...lakini pia angalia usile asli inayotoka kwa walima sigara....tumbaku!
Na mimi ninakusaidia kwa kuhakikisha kuwa hiyo ni Asali mbichi ni ya kweli Siyo feki itabidi uiweke kwenye friji ikiwa haijaganda itakuwa ni ya kweli hiyo Asali mbichi Orignal lakini ikiganda hiyo ni Asali ni Feki iliyochakachuliwa ni hivyo Mkuu, Kupata Asali mbichi mijini ni kama kupata Almasi Sokoni tena unakuwa hiyo Almasi umeikota hapo Sokoni si rahisi nyingi za Asali zilizopo Masokoni ni feki zimechakachuliwa.
wadau naombeni msaada asali nyingi za hapa bongo zimechakachuliwa, i am real inthe need of natural honey, tena asali mbichi, anybody who can help please PM me uniambie bei, na ntakupataje,naamini jf ndo mambo yote
Ivi asali huwa inaharibika? ( ina muda wa kutumia?)
labda nimenunua asali leo (original) haijachakachuliwa naweza nikaitumia kwa muda gani?
MWENYEZH MUNGU AMEONYESHA UWEZO WA AJABU SANA KATIKA ASALI.ISIPOTIWA KITU CHOCHOTE CHA ZIADA INA KAA MUDA MREFU SANA.NINA ASALI NILINUNUA KWA MKULIMA TOKA mwezi wa 4 mwaka 2009 mpaka leo NAITUMIA BILA MATATIZO YOYOTE.UTAMU NA UBORA UPO PALEPALE.KOSA LA ASALI NI KUICHAKACHUA!NI NGUMU SANA KUPATA ORIGINAL UKIWA MIKOA ISIYO NA WAFUGAJI WA NYUKI.