Natafuta apk za hizi apps

MZALENDO NO.1

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
302
134
Wakuu wa technologia naomba msaada wenu, Naomba atakaye niwezesha kupata apk ya hizi paid apps kwenye google play store

Betting tips HT-FT VIP

SUPERTIPSMAN SPECIAL VIP

EXPERT BETTING TIPS PREMIUM

Naomba kuwasilisha.

Wazee wa mautundu kazi kwenu nisaidieni kuzipata hizo apk
 
We jamaa mvivu sana kila ushauri unaopewa unataka mtu aanze kujaribu yeye ikikubali ndo uambiwe..yani uvivu huo sidhan kama utapata hizo kitu..yani tech haitaki type ya watu wavivu ivooo..pambana acha kutaka taka tuuu yani uafuniwe hadi umezewe we ujikute tu Tumboni umeshibaaa?? acha bana huo uvivu
 
Yaani kona zote hizo nimepita, nimegonga mwamba ndo maana nikaomba msaada
 
We jamaa mvivu sana kila ushauri unaopewa unataka mtu aanze kujaribu yeye ikikubali ndo uambiwe..yani uvivu huo sidhan kama utapata hizo kitu..yani tech haitaki type ya watu wavivu ivooo..pambana acha kutaka taka tuuu yani uafuniwe hadi umezewe we ujikute tu Tumboni umeshibaaa?? acha bana huo uvivu
Ungejaribu wewe ikakubali kweli ulikuwa na sababu za kuniita mvivu, ila kama hujafanya lolote huna nguvu ya kuniita mvivu
 
Back
Top Bottom