Natafuta ajira za viwandani

westandtogether

Senior Member
Jul 8, 2020
153
229
Habari wakuu,

Naomba msaada kujua viwanda vinavyotoa ajira na kibarua kwa Dar na Pwani

Viwanda vyovyote vile kwa anaejua anisaidie data
 
Ndenda kisemvule Mkuu kazi za vibarua viwandani ziko nyingi tu.
Fika Alfajiri utakuta mamia ya vijana wanaelekea viwandani waulize watakupa Data zote

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom