frankbosco
Member
- Feb 1, 2018
- 12
- 1
- Thread starter
- #21
Asante mkuuCoca cola Company wametangaza nafasi za udereva unaeza watafuta
Asante mkuuCoca cola Company wametangaza nafasi za udereva unaeza watafuta
Kweli huko kuna shida ya Mwalimu Wa kiswahili. Maana hizi r Na L zinavyopigana chenga hadi rahaNaimani ww urikuwa mwarimu wa kiswahiri huku kwetu tuna shida ya mwalim wa kiswahir unaweza ukaja kutusaidia
Wajuaji sasa, et menu 😀😀😀😀😀😀😀😀Gari (menu) unaendesha ?
OK uzoefu wako ni wa Muda Gani? Na leseni ni daraja gani