Natafuta ajira ya udereva

frankbosco

Member
Feb 1, 2018
12
1
Kwajina naitwa mr frank naishi DSM kimara natafuta ajira ya udereva leseni ninayo kwa atakae itaji tuwasiriane kwa no 0785010732 asanteni
 
Kwa jina naitwa mr frank
Naishi kimara mwisho
Natafuta ajira ya udereva
Reseni ninayo na nina uzoefu
Wa kuendesha magar aina zote manual na auto kwa mawasiriano 0785010732
 
Gari (menu) unaendesha ?
OK uzoefu wako ni wa Muda Gani? Na leseni ni daraja gani
 
Kwajina naitwa mr frank naishi DSM kimara natafuta ajira ya udereva leseni ninayo kwa atakae itaji tuwasiriane kwa no 0785010731 asanteni
Class D unaweza endesha pia na gari za tani 3.5 ( isuzu/canter)???
Kama jibu ni ndio nitafute.
 
Kwa jina naitwa mr frank
Naishi kimara mwisho
Natafuta ajira ya udereva
Reseni ninayo na nina uzoefu
Wa kuendesha magar aina zote menu na auto kwa mawasiriano 0785010732
Menu ndio magari ya aina gani mkuu?
 
Ndio maana nimeweka mawasiriano kwa mtu aria siliasi tuwasiriane
Mawasiriano= Mawasiliano.
aria= aliye.
siliasi=serious.
tuwasiriane= tuwasiliane.
Mkuu sorry ulianzia masomo yako ya udereva darasani au ulienda moja kwa moja kujifunzia kuendesha gari uwanja wa mpira ukatafuta leseni ya udereva. Anyway wish you all the best..
 
Naimani ww urikuwa mwarimu wa kiswahiri huku kwetu tuna shida ya mwalim wa kiswahir unaweza ukaja kutusaidia
 
Mawasiriano= Mawasiliano.
aria= aliye.
siliasi=serious.
tuwasiriane= tuwasiliane.
Mkuu sorry ulianzia masomo yako ya udereva darasani au ulienda moja kwa moja kujifunzia kuendesha gari uwanja wa mpira ukatafuta leseni ya udereva. Anyway wish you all the best..
Huyo ni dereva hahitaji sana kuwa mahili wa lugha,kazi yake ni ya kutumia nguvu na akili ya wastan
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom