Natafuta ajira ya uchoraji

Raba kali

Member
Joined
Aug 10, 2024
Posts
71
Reaction score
150
Wakuu! Nimekuwa si mdau mkubwa wq jamii forum ila nina uhakika humu kuna wadau muhimu na sahihi sana kwa ufikiaji lengo.

Ninatafuta nafasi, sapoti kutoka kwa mtu au wqtu au mazingira sahihi kwa ukuaji wa talanta yangu ya uchoraji . Nina uwezo mzuri wa kuchora katuni na ninatamani kujenga njia fulan inayoweza kunpa identity au brand kama Masud kipanya. Katuni pia ninaweza kuchor

Msaada wa hili tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…