kyle2810
Member
- Nov 8, 2015
- 6
- 8
Naitwa Emmanuel Harold, ni muhitimu wa masomo ya mifugo na uzalishaji, nimemaliza mwaka 2016 katika chuo cha lita morogoro, nikafanikiwa kupata Diploma ya animal health and production, na kufanikiwa kufanya kozi ya mafunzo pia katika ranch ya kongwa na wilaya ya kilosa,
Ombi langu ni kupata ajira iwe eneo lolote la tanzania niko tayari kwa fursa hiyo. nimeweka na CV yangu hapo chini
kwa mawasiliano : 0719348922, Email; emmanuel.harold@gmail.com.
kwa sasa nipo morogoro mjini