Natafuta ajira upande wowote wa biashara

Natafuta ajira upande wowote wa biashara

A_ngela

New Member
Joined
Dec 17, 2022
Posts
4
Reaction score
1
Habari zenu,

Mimi ni kijana wa miaka 28 naishi Morogoro nimesomea mambo ya manunuzi na ugavi. Nina uwezo wa kufanya kazi tofauti na nlichosomea.

Asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom