wisdom empire
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 337
- 288
.
Sidhani kama ni kujidhalilisha kwani wapo waliofanikiwa kupitia Jf na licha ya ivyo hakuna anayefahamu humu kwamba Mimi ni nani.Mkuu mtoto wa kiume kuomba kazi JF ni kujidhalilisha na kupoteza muda humu wakware huwa wanawapa kazi watoto wa kike tu inasikitisha sana.
Sawa mkuu endelea kusubiri kazi. Kila la kheri.Sidhani kama ni kujidhalilisha kwani wapo waliofanikiwa kupitia Jf na licha ya ivyo hakuna anayefahamu humu kwamba Mimi ni nani.
Asante mkuuSawa mkuu endelea kusubiri kazi. Kila la kheri.
Kila la heri mkuu...japo uku ni kumaliza mb na kupoteza mdaa...jf kejel,matus,Kik ...kaz mpaka uwe wa kikeeWakuu habari.
Ninatafuta ajira ya muda au ya kudumu katika shirika/kampuni au taasisi yoyote iliyopo tanzania bara au zanzibar.
Nina Umri wa miaka 25.
Nina bachelor of business administration in procurement and logistics management.
Nina uziefu ufuatao;
warehouse management (6 month at Olam company as a volunteer)
Bank officer trainee (5 month at crdb bank as field attachment).
Accountant (3 month at Tanganyika education and consultancy centre as field attachment.
Marketing and customer service( crdb bank)
Sichagui kazi ivo ninaweza kufanya kazi katika mahoteli,clubs,restaurants, makampuni ya ulinzi,usafirishaji,na nyingine nyingi ambazo huenda sijataja.
Kwa yeyote mwenye uhitaji au anauwezo wa kuniunganisha na mtu mwenye uhitaji nitashukuru endapo atanisaidia.
Asanteni.
nenda ulinzi bro...... unapata fasta tuWakuu habari.