Natafuta Ajira katika kampuni au taasisi yoyote

tax compliant

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
1,217
2,000
Mkuu mtoto wa kiume kuomba kazi JF ni kujidhalilisha na kupoteza muda humu wakware huwa wanawapa kazi watoto wa kike tu inasikitisha sana.
 
Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
4,009
2,000
Wakuu habari.

Ninatafuta ajira ya muda au ya kudumu katika shirika/kampuni au taasisi yoyote iliyopo tanzania bara au zanzibar.

Nina Umri wa miaka 25.

Nina bachelor of business administration in procurement and logistics management.

Nina uziefu ufuatao;

warehouse management (6 month at Olam company as a volunteer)

Bank officer trainee (5 month at crdb bank as field attachment).

Accountant (3 month at Tanganyika education and consultancy centre as field attachment.

Marketing and customer service( crdb bank)

Sichagui kazi ivo ninaweza kufanya kazi katika mahoteli,clubs,restaurants, makampuni ya ulinzi,usafirishaji,na nyingine nyingi ambazo huenda sijataja.

Kwa yeyote mwenye uhitaji au anauwezo wa kuniunganisha na mtu mwenye uhitaji nitashukuru endapo atanisaidia.

Asanteni.
Kila la heri mkuu...japo uku ni kumaliza mb na kupoteza mdaa...jf kejel,matus,Kik ...kaz mpaka uwe wa kikee
 
Pablo

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
2,451
2,000
Mkuu una uzoefu zaidi ya mwaka na nusu. Kila sector Upo. Uhasibu,ugavi,utawala biashara...hadi Leo hujapata kazi?
 
sakya

Member
Jul 17, 2014
24
45
Wakuu habari.

Ninatafuta ajira ya muda au ya kudumu katika shirika/kampuni au taasisi yoyote iliyopo tanzania bara au zanzibar.

Nina Umri wa miaka 25.

Nina bachelor of business administration in procurement and logistics management.

Nina uziefu ufuatao;

warehouse management (6 month at Olam company as a volunteer)

Bank officer trainee (5 month at crdb bank as field attachment).

Accountant (3 month at Tanganyika education and consultancy centre as field attachment.

Marketing and customer service( crdb bank)

Sichagui kazi ivo ninaweza kufanya kazi katika mahoteli,clubs,restaurants, makampuni ya ulinzi,usafirishaji,na nyingine nyingi ambazo huenda sijataja.

Kwa yeyote mwenye uhitaji au anauwezo wa kuniunganisha na mtu mwenye uhitaji nitashukuru endapo atanisaidia.

Asanteni.
nenda ulinzi bro...... unapata fasta tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom