Habari wakuu!
Mimi ni kijana mwenye diploma in Information Technology (IT), natafuta ajira iliyo halali ama mahali popote dar es salaam ambapo naweza kufanya kazi kwa kujitolea ili niweze kupata uzoefu.
Pia, kama kuna fundi wa computer / mobile phone nitashkuru kama atanipa nafasi ya kujumuika nae ili niweze kujiimarisha zaidi kwenye ufundi.
Jinsia: Me
Umri: 24
Mahali napoishi: Dar es Salaam
Elimu: Diploma in Information Technology.
Sent using Jamii Forums mobile app