Yaani ninazitafuta kweli!! Nikiuliza wananiambia kuwa hivyo vifurushi vimehamishwa katika line za chuo za Airtel nikifuatilia wananiambia hakuna line za chuo za Airtel nikitaka hivyo vifurushi naambiwa nipige hii namba *149*81# nikipiga siipati ile ya 10 GB ninayo itaka ndio shida ipo hapo!!