Nickson Mjuni
Member
- Jul 10, 2016
- 47
- 26
habarini ndugu zangu, nina kashughuli wikend ijayo so nilikuwa naomba kuuliza ni aina gani ya mashirt meupe classic, sehemu yanapouzwa na bei zake ili nikanunue au mnicontact pm na hao wauzaji ili nikiktokea next wik niwe fireeeeeeeeee abt bei msijari mi nahitaji kitu classic hata kikinyooshwa kisikunjike kirais rais. AHSANTEN