Haya yapo mengi Sana maeneo ya mgeta,na sehemu nyingi tu Morogoro.yanaitwa ulanga.Habari ndugu wadau wa jf kwa mwenye kujua wapi yanapatikana kwa wingi aina hii ya mawe yanaitwa MICA yana kama kurasa ukichana inakuwa kama kioo cha tinted.Kuna wachina wanayahitaji sana wameniomba niwachekie upaticanaji wake.View attachment 1232576View attachment 1232577View attachment 1232578
Naomba niunganishe na mtu aliyepo huko kijijini nifunge safari nikayone.Haya yapo mengi Sana maeneo ya mgeta,na sehemu nyingi tu Morogoro.yanaitwa ulanga.
Sio China tu,ata India yanatakiwa Sana.
Ndio yanayotengeneza Metallica colours za mahari,vifaa vya umeme,rangi za kucha na lipstick pia.
Kijijini kwetu yapo mengi sana.. niliwaigi pata order India miaka ya 2002.
Oya kijiji gani niibukie na vijana wanguHaya yapo mengi Sana maeneo ya mgeta,na sehemu nyingi tu Morogoro.yanaitwa ulanga.
Sio China tu,ata India yanatakiwa Sana.Tanzania enzi ya nyerere tulikuwa na mica state company pale Morogoro..ulanga enzi hizo ulikuwa unachangia Pato la serikali..babu Yangu alikuwaga mchimbaji mkubwa Sana wa mica miaka ya 70
Ndio yanayotengeneza Metallica colours za mahari,vifaa vya umeme,rangi za kucha na lipstick pia.
Kijijini kwetu yapo mengi sana.. niliwaigi pata order India miaka ya 2002.
Poa mkuu, kila la kheriWapo china wao wana wauzia huawei kuna wenzao wanachukua kenya ila ni very expensive sasa kuna mdogo wangu ndio kaniunganisha nao yakipatikana wapo tayari kutoa vifaa vya kuya chimba.
Kuna dogo yupo Dar,(Mimi nimesafiri kwa Sasa) Kama utakuwa tayari kumlipia nauli na hela kidogo ya muda wake ni kupm no yake.Naomba niunganishe na mtu aliyepo huko kijijini nifunge safari nikayone.
Kuna dogo yupo Dar,(Mimi nimesafiri kwa Sasa) Kama utakuwa tayari kumlipia nauli na hela kidogo ya muda wake ni kupm no yake.
Unajua kisa Cha Morogoro kuwa na wilaya inaitwa wilaya ya Ulanga???.
Kama una mtaji wa kuanzia,ushauri fungua kajikampuni uingie kazini.ni kweli uwezi maliza solo lake huko uchina na India.So Anza kazi mkuu
Naomba nikuambie kuwa Bei yake sio Kama unayosema hapa japo yanalipa.mimi ninajua Bei ya madini karibia yote na nimewaifanya hizi biashara....na kwetu ulanga tukiwa watoto tumeuchezea Sana,Bibi Yangu amenichapa Sana kisa kucheza na ulanga..alikuwa anasema utatuharibu macho. Kijijini nnapotoka upo mwingi Tena Sana ata barazani mwa nyumba yetu upo . Kuwa Makini usihemke na maneno ya kuambiwa.. kwenye electronics ulanga matumizi yake ni Kama 10%.Mimi Kama mtu wa electronics najua vifaa vipi vimetengenezwa kwa ulanga.. so hakikisha Bei ..Kwa kg100 ni zaidi ya usd30,000.
Naomba nikuambie kuwa Bei yake sio Kama unayosema hapa japo yanalipa.mimi ninajua Bei ya madini karibia yote na nimewaifanya hizi biashara....na kwetu ulanga tukiwa watoto tumeuchezea Sana,Bibi Yangu amenichapa Sana kisa kucheza na ulanga..alikuwa anasema utatuharibu macho. Kijijini nnapotoka upo mwingi Tena Sana ata barazani mwa nyumba yetu upo . Kuwa Makini usihemke na maneno ya kuambiwa.. kwenye electronics ulanga matumizi yake ni Kama 10%.Mimi Kama mtu wa electronics najua vifaa vipi vimetengenezwa kwa ulanga.. so hakikisha Bei ..
Kwa kg100 ni zaidi ya usd30,000.
Ni pm namba za huyo dogoNaomba nikuambie kuwa Bei yake sio Kama unayosema hapa japo yanalipa.mimi ninajua Bei ya madini karibia yote na nimewaifanya hizi biashara....na kwetu ulanga tukiwa watoto tumeuchezea Sana,Bibi Yangu amenichapa Sana kisa kucheza na ulanga..alikuwa anasema utatuharibu macho. Kijijini nnapotoka upo mwingi Tena Sana ata barazani mwa nyumba yetu upo . Kuwa Makini usihemke na maneno ya kuambiwa.. kwenye electronics ulanga matumizi yake ni Kama 10%.Mimi Kama mtu wa electronics najua vifaa vipi vimetengenezwa kwa ulanga.. so hakikisha Bei ..