Natafuta adsense account (hosted) mpya

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,393
Mwenye account mpya kabisa ,isiyo na barua tuwasiliane tufanye biashara.Nataka ambayo ni hosted maana nitaitumia kwa website siyo blog

nb:Kama hujui lolote tafadhali pita kando
 
Mwenye account mpya kabisa ,isiyo na barua tuwasiliane tufanye biashara.Nataka ambayo ni hosted maana nitaitumia kwa website siyo blog

nb:Kama hujui lolote tafadhali pita kando
wewe unaonyesha hujui lolote.. toka lini hosted ikatumika kwenye website bwana mdogo
 
wewe unaonyesha hujui lolote.. toka lini hosted ikatumika kwenye website bwana mdogo

Ninajua ninalofanya. kama huna pita kando.tazama umejoin lin hapa jf na mimi nimejoin lini kisha utajua mimi nawe nani dogo...

Ninachotaka kama huna kakojoe ulale.
 
Ninajua ninalofanya. kama huna pita kando.tazama umejoin lin hapa jf na mimi nimejoin lini kisha utajua mimi nawe nani dogo...

Ninachotaka kama huna kakojoe ulale.
unaweza kuwa jf mda mrefu na ukawa bwege na boya kama ulivyo wewe... Nijibu swali langu toka lini hosted account ya adsense ikaweka matangazo kwenye website ... acha undezi we boya hosted inaweka matangazo kwenye blog za .blogspot.com na youtube tuu we bwana mdogo acha ujuaji mwingi wakati hujui lolote ndezi wewe..
 
Mtoa mada nadhani unamaanisha Non hosted, hii ndo inafanya kazi kwenye website yoyote mradi ikidhi vigezo vilivyowekwa. Hosted kama jina lake linavyojieleza yenyewe ina limitations so nafikiri mtoa mada anahitaji Non Hosted Account, mwenye nayo amsaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
alikosea nimempiga makonde mazito kakimbia jumla..
 
Tangu lini Hosted ikafanya Kazi kwenye Website Bila Kufanya Upgrade 😱😱😱😱😱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…