Natafuta account ya Uber au Bolt

Natafuta account ya Uber au Bolt

Fazz

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2019
Posts
635
Reaction score
1,456
Habari,

Nahitaji account kwa mwenye nayo ya huduma za usafiri kwa hapa DSM. Nipo na bajaji nataka nijiunge na hiyo mitandao kwa mwenye nayo PM tuyajenge.
 
Habari zenu!

Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi. Nipo tayari kwa mkataba au kawaida kuleta hesabu kwa siku. Nina uzoefu pamoja na uaminifu wa hali juu.

Nina Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA)
Namba: 0674074563
Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwa Dar es Salaam.
Nipo Temeke Dar es Salaam
 
Ingawa sijui Jibu la Swali lako, kwahio samahani kama taonekana mpuuzi..., Hivi wanaotoa hizi Akaunti / Ukitaka kujiunga; si unawasiliana na hao hao Uber na Bolt ? Au na hapa kuna Udalali / Ujanja Ujanja ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom